MIKAKATI YA KIUCHUMI IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA.
UTANGULIZI:-
Idara ya Kilimo inajihusisha na shughuli zifuatazo
Kusimamia uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara
Kuboresha huduma za ugani
Kusimamia shughuli za Ushirika
1.0: UZALISHAJI WA MAZAO YA CHAKULA
a) Malengo na Utekelezaji wa Mazao ya Chakula msimu wa masika 2016/2017
Na
|
Zao
|
Malengo
|
Utekelezaji
|
Tija (tani/ha)
|
||
Ha
|
Mavuno tegemewa (tani)
|
Ha
|
Mavuno Halisi (Tani)
|
|||
1
|
Mahindi
|
10,633
|
43,595
|
9569.7
|
39,235.8
|
4.1
|
2
|
Mtama
|
6,362
|
20,358
|
5726
|
18,323.2
|
3.2
|
3
|
Muhogo
|
6,741
|
14,830
|
6066.9
|
13,347.2
|
2.2
|
4
|
Viazi (V)
|
3,903
|
14,831
|
3512.7
|
13,348.3
|
3.8
|
5
|
Viazi (M)
|
905
|
1,901
|
814.5
|
1,710.5
|
2.1
|
6
|
Ulezi
|
2,340
|
1,872
|
2106
|
1,684.8
|
0.8
|
7
|
Migomba
|
3,323
|
28,910
|
2990.7
|
26,019.1
|
8.7
|
8
|
Mpunga
|
104
|
270
|
94
|
244.4
|
2.6
|
|
JUMLA
|
34,311
|
126,568
|
30,880.5
|
113,913.3
|
|
b) Malengo na Utekelezaji wa Mazao ya Chakula msimu wa vuli 2016/2017
Na
|
Zao
|
Malengo
|
Utekelezaji
|
Tija (tani/ha)
|
||
Ha
|
Mavuno tegemewa (tani)
|
Ha
|
Mavuno Halisi (tani)
|
|||
1
|
Mahindi
|
8,115
|
35,706
|
6,898
|
24,143.0
|
3.5
|
2
|
Mtama
|
4,092
|
15,550
|
3,478
|
11,129.6
|
3.2
|
3
|
Muhogo
|
4,926
|
23,645
|
4,187
|
20,097.6
|
4.8
|
4
|
Viazi (V)
|
2,512
|
12,058
|
2,135
|
9,607.5
|
4.5
|
5
|
Viazi (M)
|
757
|
2,498
|
643
|
1,929.0
|
3
|
6
|
Ulezi
|
1,627
|
3,742
|
1,383
|
2,766.0
|
2
|
7
|
Ndizi
|
3,507
|
36,824
|
2,981
|
28,617.6
|
9.6
|
|
JUMLA
|
25,536
|
130,022
|
21,706
|
98,290.30
|
|
HALI YA UPATIKANAJI WA CHAKULA
Jedwali Na. 1: Mavuno na mahitaji ya chakula
|
||||
Msimu
|
Idadi ya Watu
|
Mavuno halisi (Tani)
|
Mahitaji ya chakula kwa miezi 6 (Tani)
|
Ziada (Tani) ya vuli
|
Vuli
|
292,008
|
98,290
|
39,968.6
|
58,321.40
|
Masika
|
292,008
|
113,913.3
|
39,968.6
|
73,944.07
|
Uzalishaji wa kahawa kipindi cha miaka mitatu iliyopita
2014/2015-2016/2017
Zao la Kahawa ndio zao kuu la bishara wilayani ambalo hulimwa katika jumla ya vijiji 46 katika eneo la jumla ya hekta 2,989, kati ya hizo hekta 32 zimepandwa Kahawa bora iliyozalishwa kwa njia ya vikonyo
Mwaka
|
Kiasi (tani)
|
Wastani wa bei kwa kilo
|
Thamani (kipato kwa mkulima)
|
|
2014 - 2015
|
1,914.23
|
1,000/= – 1,800/=
|
2,679,488,000/=
|
|
2015 - 2016
|
2,195.21
|
1541/= – 1600/=
|
3,447,577,300/=
|
|
2016-2017
|
1,456.635
|
1,540/=- 1600/=
|
2,286,916.95/=
|
|
2017/2018
|
799.960
|
1200-1300/=
|
Ununuzi unaendelea
|
|
|
|
|
|
|
Kilimo Cha Chai
Wilaya ya Tarime ina jumla ya hekta 90.91 zimepandwa zao la chai ambapo hekta 57.5 kati ya hizo ndizo zinazovunwa na kuzalisha jumla ya tani 402.5 kwa kipindi cha mwaka 2016/2017wilayani. Chai inayovunwa huuzwa kwa kampuni ya AMIR HAMZA ambaye ndiye mnunuzi pekee wa chai wilayani. Miche ya zao la chai 73,680 ilisambazwa kwa Wakulima katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2016/2017.
Kilimo cha alizeti
Kampuni ya Isack and Sons ndio inayojihusisha na Kilimo cha zao la Alizeti katika maeneo ya Mrito Wakulima wamekuwa na mwitiko chanya wa kulima zao hilo kutokana na kuweka mashine kubwa ya kusindika mafuta ya alizeti. Katika msimu huu Kampuni hiyo imelima eneo la ukubwa wa hekta 80 sawa na ekari 200 za alizeti. Aidha mwekezaji huyu ana jumla ya Hekta 508.6 zinazofaa kwa Kilimo cha alizeti na kati ya hizo 80 ndizo zimelimwa. Katika kuendeleza uhamasishaji huo Halamashauri katika mpango wake wa mwaka ilitenga kiasi cha shilingi 37,812,000/= kwa ajili ya kuviwezesha vikundi viwili kutoka kata ya Susuni na Manga mashine 2 za kusindika mafuta ya alizeti.
UONGEZAJI WA THAMANI KATIKA MAZAO YANAYOZALISHWA
Katika kuongeza thamani ya mazao yanayolimwa wilayani halmashauri kwa kushirikiana na sekta binafsi imewekeza katika viwanda vya uchakataji na usindikaji mazao kama inavyoonyesha katika jedwali lifuatalo:-
S/N
|
AINA YA KIWANDA
|
IDADI
|
ZAO
|
MAHALI KILIPO
|
HALI YA KIWANDA
|
MMILIKI
|
1
|
Uchakataji
|
1
|
kahawa
|
Muriba
|
Kinafanya kazi
|
BINAFSI
(CMS) |
1
|
Bungurere
|
Hatua ya usimikaji
|
Halmashauri/AMCOS
|
|||
1
|
Nyansincha
|
Hatua ya usimikaji
|
Halmashauri/AMCOS
|
|||
2
|
usindikaji
|
1
|
Alizeti
|
Matongo
|
Kinafanya
kazi |
ISACK &SONS CO.LTD
|
|
|
1
|
Alizeti
|
Susuni
|
Hatua ya
usimikaji |
Halmashauri/kikundi
|
1
|
alizeti
|
Manga
|
Hatua ya
usimikaji |
Halmashauri/kikundi
|
KITENGO CHA USHIRIKA
Halmashauri ya wilaya ya Tarime inavyo vyama vya ushirika 74 vilivyoandikishwa na vimegawanyika katika michepuo ifuatayo:-
Hali halisi ya vyama hivyo kwa sasa:-
CHANGAMOTO
Ukosefu wa fedha za kutekeleza miradi ya idara ya kilimo kulingana na mpango kazi uliopo.
Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri utekelezaji wa miradi ya kilimo.
Ukosefu wa Afisa Ushirika na hivyo kusababisha vyama vya SACCOS kutokupatiwa huduma hasa elimu ya uendeshaji wa vyama na pia kupelekea vyama hivyo kushindwa kuwasilisha makisio ya mapato na matumizi ya vyama vyao kwa Mrajisi kwa mwaka huu, 2017.
Uwepo wa magonjwa ya batobato kali na michirizi kahawia yanayoathiri uzalishaji wa zao la mihogo.
Ushindani mdogo kwa wanunuzi wa mazao ya biashara.
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa