Kamati ya fedha, uongozi na mipango robo ya pili yatembelea miradi ya ujenzi wa shule ya sekondari Kewamamba,kituo cha afya Mtana, darasa sirari sekondari, uzio mnada Nyangoto, ukamilishaji wa ujenzi wa sekondari Nyansisine na ukarabati wa vyumba vya madarasa Inchugu sekondari ,pia na ukaguzi wa eneo la ujenzi wa X-ray na mashine ya kufulia kituo cha afya Sirari na eneo la soko la ndizi Rosana
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa