Mradi wa ujenzi wa jengo la afya ya uzazi na mtoto (RCH) katika kata ya Matongo umegharimu kiasi cha Tshs. 118,000,000/= ikiwa ni sehemu ya mapato ya ndani ya Kijiji yanayotokana na mrahaba wa Mgodi wa ACCACIA katika kutekeleza shughuli za maendeleo ya kijiji.
Tarime town Bomani
Sanduku la Posta: P.O Box 16 Tarime
Simu ya Mezani: +25528-2690518
Simu: 0758575738
Barua pepe: ded@tarimedc.go.tz
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa