MRADI WA UJENZI WA CHUMBA CHA UPASUAJI (THEATRE) KATIKA KITUO CHA AFYA MURIBA
Start Date: 2010-02-03
End Date: 2011-02-06
Mradi wa ujezi wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Muriba, kilianza na kukamilika katika mwaka wa fedha 2010/2011. Mradi ulijengwa kwa ufadhili wa Mhisani (ADB) African Development Bank.