Kamati ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imepongeza ujenzi wa kituo cha Afya Muriba pamoja na huduma zinazotolewa hapo ambapo imeitaka Halmashauri ya wilaya ya Tarime kuendelea kutumia Vyema Mapato yake ya Ndani huku ikitekeleza vyema Miradi ya Maji, Afya , Elimu na Barabara ili kutatu changamoto za Wananchi.
Simulizi ya maadiliko Shule ya Msingi Ng'ereng'ere Wilayani Tarime kuhusu maendeleo ya ufaulu tangu shule ilipoanza mwaka 1976 hadi sasa.
Serikali Mtandao katika kuboresha mazingira bora ya TEHAMA kwa kuinua uchumi wa nchi
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa