• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Huduma za Elimu

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Idara ya elimu sekondari ni miongoni mwa idara zinazounda Halmashauri ya Wilaya ya Tarime. Idara inasimamia jumla ya shule za sekondari 44 ambapo kati ya hizo shule 41 ni za serikali na shule 3 ni zisizo za serikali. Shule za sekondari za serikali zina jumla ya wanafunzi 59,781 ikiwa wavulana ni 28,930 na wasichana ni 30,851. Shule binafsi zina jumla ya wanafunzi 6,270 ikiwa wavulana ni 3,297 na wasichana ni 2973. (Takwimu za elimumsingi, Machi 2023).

Idara ina vitengo viwili ambavyo ni Kitengo cha Taaluma na Kitengo cha Vifaa na Takwimu.

HUDUMA ZITOLEWAZO KATIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu utoaji na upatikanaji wa elimu ya sekondari
  • Kusimamia miongozo na taratibu kama zilivyoainishwa katika sera ya Elimu ya mwaka 2014
  • Kusimamia na kuendesha mitihani ya kitaifa na mingine inayotambulika kwa mujibu wa sheria
  • Kutatua changamoto za kielimu kwa wazazi, wamiliki wa shule na wadau wengine wa elimu
  • Kusimamia na kuhakikisha upatikanaji wa maslahi ya waimu
  • Kuthibitisha maombi ya uhamisho na maombi ya kukariri darasa kwa wanafunzi wa elimu za sekondari

MIFUMO MBALIMBALI INAYOTUMIKA

Kama kuboresha huduma kwa wananchi na kurahisha utendaji kazi serikali imejikita katika matumizi ya teknolojia ya TEHAMA kwa kubuni mifumo mbali mbali ya kielektroniki ambayo inatumika katika sekta mbalimbali. Idara ya elimu sekondari inatumia mifumo ifuatayo

  • PREMS –huu ni mfumo unaotumika kuhamisha wanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine, kutunza kumbukumbu za wanafunzi na kukaririsha darasa endapo mwanafunzi hakuhudhuria masomo kikamilifu kwa muda mrefu kwa sababu zinazotambulika.
  • MADENIMISS- huu ni mfumo unaotumika na watumishi kutuma madeni yao mbalimbali wanayodai kama vile fedha za nauli za likizo, usimamizi wa mitihani, nk. Mfumo huu vilevile huhifadhi kumbukumbu za madeni hayo
  • SELFORM- Mfumo huu unatumika kuingiza machaguo ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne kwa ajili ya A level na vyuo.
  • BEMIS- Huu ni mfumo unaotumika kukusanya, kuhifadhi na kuchakata takwimu za elimu msingi kwa shule zote.
  • SIS- Huu ni mfumo unaotumika kuhifadhi kumbukumbu za walimu na wanafunzi na kunakili mahudhurio ya walimu na wanafunzi.
  • FFARS- Mfumo unaotumika kufanya malipo katika vituo vya kutolea huduma (shule)
  • PLANREP- mfumo wa mpango wa mapato na matumizi pamoja na taarifa za kibajeti
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2020/2021
  • IDARA YA ELIMU SEKONDARI
  • MRADI ILIYOKAMILIKA KWA MAPATO YA NDANI (OWN SOURCE)

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa